Natatizwa na hii kitu!!!!!

Natatizwa na hii kitu!!!!!

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
Nimekuwa nikihudhuria mijadala na semina mbalimbali zinazohusu ukimwi na kwa kiwango fulani nimeelimika sana.

Wiki iliyopita nilihudhuria semina kuhusu ukimwi, na nikapata kitu kipya kuwa PUNYETO ni njia nzuri ya kujikinga na ukimwi, na mwezeshaji akasisitiza kuwa haina madhara.

Je ni kweli punyeto ni njia nzuri ya kujikinga na ukimwi na haina madhara?

Naombeni darasa wakuu, ili kama ni kweli nianzishe chama cha wapiga puli maana ukimwi si mchezo!!!!!
 
Nimekuwa nikihudhuria mijadala na semina mbalimbali zinazohusu ukimwi na kwa kiwango fulani nimeelimika sana. Wiki iliyopita nilihudhuria semina kuhusu ukimwi, na nikapata kitu kipya kuwa PUNYETO ni njia nzuri ya kujikinga na ukimwi, na mwezeshaji akasisitiza kuwa haina madhara. Je ni kweli punyeto ni njia nzuri ya kujikinga na ukimwi na haina madhara? Naombeni darasa wakuu, ili kama ni kweli nianzishe chama cha wapiga puli maana ukimwi si mchezo!!!!!
Hebu fuatilia thread hii yawezekana majibu utayapata hapo
 
Back
Top Bottom