Natatuaje tatizo la mboga mboga kwa kuku ikiwa mboga zinauzwa gharama?

Natatuaje tatizo la mboga mboga kwa kuku ikiwa mboga zinauzwa gharama?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Nafuga kuku wa kienyeji Jkisema ulishe mboga za majani za sokoni Utajikuta unapata hasara kubwa sana
kwanza

-Wanakua taratibu sana ( hivo gharama kuwakuzA)
-Soko la kusua sua
-Bei zake si kubwa kama jinsi ya ulivyowakuza

Je kuna mbadala wa mboga majani?
 
Na ukichelewa wakapata upungufu wa vitamins wana kaugonjwa kao pendwa ka kukosa nguvu hata ya kusimama wala kunyoosha shingo watapukutika.
 
kama una akiba ya eneo ambalo unaweza kuweka bustani.. ni vyema ukalima kwaajili ya kuku... ukianza na hizohizo za gharama wakati za bustani zipo kwenye ukuaji

Asante kwa ushauri ila shida eneo langu ni dogo sana
 
Nafuga kuku wa kienyeji Jkisema ulishe mboga za majani za sokoni Utajikuta unapata hasara kubwa sana
kwanza

-Wanakua taratibu sana ( hivo gharama kuwakuzA)
-Soko la kusua sua
-Bei zake si kubwa kama jinsi ya ulivyowakuza

Je kuna mbadala wa mboga majani?
Acha uoga jaza udongo kwenye viroba alafu mwagia mbegu za mtama, ulezi au uwele yale majan yakikua unalisha kuku acha kukaa kishamba shamba
 
Tafuta wanaponunulia kwa jumla huwa bei inakua nafuu sana
 
Back
Top Bottom