Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
kama una akiba ya eneo ambalo unaweza kuweka bustani.. ni vyema ukalima kwaajili ya kuku... ukianza na hizohizo za gharama wakati za bustani zipo kwenye ukuaji
Na ukichelewa wakapata upungufu wa vitamins wana kaugonjwa kao pendwa ka kukosa nguvu hata ya kusimama watapukutika.
Tumia viroba mkuu, jaza udongo panda mboga humo Wala haihitaji eneo kubwa hiyo inafaa Zaid kwa watu wasokua na maeneo na itakusaidia
Tumia viroba mkuu, jaza udongo panda mboga humo Wala haihitaji eneo kubwa hiyo inafaa Zaid kwa watu wasokua na maeneo na itakusaidia
Chinese na spinach zinafanya vzrni mboga gani inafaa kupandwa kwene kiroba
Chinese,figili,sukuma wiki,mnavu, spinach.ni mboga gani inafaa kupandwa kwene kiroba
Lima
Watanzania kwa kulaumu? Sasa kwani kufuga umelazimishwa si ulime mboga zako ili upunguze gharama!
Acha uoga jaza udongo kwenye viroba alafu mwagia mbegu za mtama, ulezi au uwele yale majan yakikua unalisha kuku acha kukaa kishamba shambaNafuga kuku wa kienyeji Jkisema ulishe mboga za majani za sokoni Utajikuta unapata hasara kubwa sana
kwanza
-Wanakua taratibu sana ( hivo gharama kuwakuzA)
-Soko la kusua sua
-Bei zake si kubwa kama jinsi ya ulivyowakuza
Je kuna mbadala wa mboga majani?
Kama una akiba ya eneo ambalo unaweza kuweka bustani.. ni vyema ukalima kwaajili ya kuku... ukianza na hizohizo za gharama wakati za bustani zipo kwenye ukuaji