emmarki JF-Expert Member Joined Nov 22, 2012 Posts 1,001 Reaction score 1,430 Sep 7, 2023 #1 wadau nina zaidi ya vishikwambi 3 maarufu vya sensa (pritom tablet) zina shida ya kuandika emergency na kupoteza network kabisa. Mtaalamu anijuze namna ya kutatu hilo tatizo tafadhali.
wadau nina zaidi ya vishikwambi 3 maarufu vya sensa (pritom tablet) zina shida ya kuandika emergency na kupoteza network kabisa. Mtaalamu anijuze namna ya kutatu hilo tatizo tafadhali.