Nategemea Dr.bBashiru atawakemea Mwakyembe na Tulia kwa uharibifu wa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya

Nategemea Dr.bBashiru atawakemea Mwakyembe na Tulia kwa uharibifu wa uwanja wa CCM Sokoine, Mbeya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Natoa angalizo tu kwamba uwanja wa Sokoine ni mali ya CCM na kwahiyo mwanaccm yoyote anayeusababishia madhara anapaswa kukemewa.

Haiwezekani Mwenyekiti wetu Dr Magufuli juzi tu kasisitiza umuhimu wa kulinda mali za chama ili CCM isitegemee ruzuku pale mkutanoni Mwanza, halafu wajumbe wale wale wanakwenda kuutimbatimba uwanja na kukikosesha chama mapato.

Nimesikitika sana kwa kweli.

Maendeleo hayana vyama!
 
eleweka mkuu! unaandika kama vile kila mtu alikuwa akilini mwako na anajua mapato yamefanywaje, andika habari iliyokamilika! wachangiaje unataka waandike kuwa mapato ya uwanja yamekuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom