Nategemea kuanza kufuga ng'ombe wa maziwa

Nategemea kuanza kufuga ng'ombe wa maziwa

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
238
Reaction score
93
Ndugu mjasiriamali, nategemea kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na ningeomba wale wote wenye uzoefu waniambie vitu vya lazima vya kuwa navyo au maandalizi:

Natarajia kufugia maeneo ya Dar
Natarajia kuanza na ngombe mmoja

Asante

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkubwa,samahan ila je huyo Ng'ombe unanunua wap na gharama yake ikoje?
 
Back
Top Bottom