Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Ukweli sijawahi kwenda Tanga napasikia tu ...wenyeji wa huko naomba mnipe uzoefu sehemu nzuri ya kufikia, kutembea ili hasa hasa maeneo ya mjini. Dhiara yangu itachukua siku mbili mpaka tatu. Ili na mimi nisije nikaonekana sijawahi kufika Tanga kwakua asilimia kubwa watu wa nyumbani walishaenda.