Nategemea kwenda kutembea Tanga japo siku mbili.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Ukweli sijawahi kwenda Tanga napasikia tu ...wenyeji wa huko naomba mnipe uzoefu sehemu nzuri ya kufikia, kutembea ili hasa hasa maeneo ya mjini. Dhiara yangu itachukua siku mbili mpaka tatu. Ili na mimi nisije nikaonekana sijawahi kufika Tanga kwakua asilimia kubwa watu wa nyumbani walishaenda.
 
Tanga achana nayo, Utafinywa chini hutasahau... wajuzi nafikiri wamenielewa
 
The love city... Tahadhari takwimu zinaonyesha ni moja ya mkoa ambao homa ya Dunia inakuwa kwakasi.Papuchi kule hununui ni burebure haswa ukiwa mgeni.Wadada huona fahari kuliwa na wageni...Kumbuka kubeba Condoms mana kugonga hakuepukiki ukiwa Tanga lazima uwatafune.Kama ukifanikiwa utupe mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…