Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
safari ya siku mbili beba box zima la kondom maana unaweza usirudi ndani ya muda
wasemavyo lakini mimi sijawahi kufika
Sasa siku mbili ni kuishi Mkuu sema waenda kuiangalia Tanga, Nenda tu ukishafika ndio utajua huko huko.Kweli Bi Hajar sijawahi na sijui nitakwenda kuishi vipi, maana sijui hata pakwenda kuanzia.
Ahsante mkuu,.. Nikienda najua nitapata watu humu humu mpaka maeneo ya kulala.Sasa siku mbili ni kuishi Mkuu sema waenda kuiangalia Tanga, Nenda tu ukishafika ndio utajua huko huko.
Hao niliokutajia wanaijua hasaaa hiyo Tanga hivyo wangekuelekeza wapi pa kuanzia. Ila kwa kuwa hawajafika kwenye huu uzi hivyo we nenda tu Mkuu hakiwezi haribika kitu.
Aja leo arudi leo? Basi hebu na apande Raha Leo hadi Makorora maana kule kawaida yao kudeka, azunguke Usagara hadi Sahare apelekwe kuiona Raskazoni arudishwe Nguvumali kama vile endazake Mombasa na akimaliza arudi Majani Mapana atokezee kwa Minchi arudi mpaka round about ya Mabanda ya Papa kama wenda MabawaSesten Zakazaka na 1kush africa mgeni huyu hajawahi fika Tanga jamaani.
Maji ya kuoga yatiwa hiliki!Waja leo waondoka mwakani.
yajayo yanasikitisha sana pole kwa ban[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yajayo yanafurahisha shoga wangu jichekee tu
Nishampa ramani Hajar sasa akisema kapotea ujue kashakaribishwa na ma alat wa Kitanga anatayarishiwa maji ya kuoga yaliyotiwa mdalasini, hiliki na giligilani, hapo kaulimbiu ya waja leo waondoka leo inaota mbawaSasa siku mbili ni kuishi Mkuu sema waenda kuiangalia Tanga, Nenda tu ukishafika ndio utajua huko huko.
Hao niliokutajia wanaijua hasaaa hiyo Tanga hivyo wangekuelekeza wapi pa kuanzia. Ila kwa kuwa hawajafika kwenye huu uzi hivyo we nenda tu Mkuu hakiwezi haribika kitu.
Mkuu mbona mie nilienda training week nzima ila sikulala na mwanamke hata mmoja coz kujiheshimu muhimuThe love city... Tahadhari takwimu zinaonyesha ni moja ya mkoa ambao homa ya Dunia inakuwa kwakasi.Papuchi kule hununui ni burebure haswa ukiwa mgeni.Wadada huona fahari kuliwa na wageni...Kumbuka kubeba Condoms mana kugonga hakuepukiki ukiwa Tanga lazima uwatafune.Kama ukifanikiwa utupe mrejesho
Ewaaaaaaa. Ashindwe mwenyewe sasa.Aja leo arudi leo? Basi hebu na apande Raha Leo hadi Makorora maana kule kawaida yao kudeka, azunguke Usagara hadi Sahare apelekwe kuiona Raskazoni arudishwe Nguvumali kama vile endazake Mombasa na akimaliza arudi Majani Mapana atokezee kwa Minchi arudi mpaka round about ya Mabanda ya Papa kama wenda Mabawa
Kabisaaaa. Na hapo waeza shangaa kurudi ndio ikawa basi tena. HahaaaaNishampa ramani Hajar sasa akisema kapotea ujue kashakaribishwa na ma alat wa Kitanga anatayarishiwa maji ya kuoga yaliyotiwa mdalasini, hiliki na giligilani, hapo kaulimbiu ya waja leo waondoka leo inaota mbawa
Sio kweliThe love city... Tahadhari takwimu zinaonyesha ni moja ya mkoa ambao homa ya Dunia inakuwa kwakasi.Papuchi kule hununui ni burebure haswa ukiwa mgeni.Wadada huona fahari kuliwa na wageni...Kumbuka kubeba Condoms mana kugonga hakuepukiki ukiwa Tanga lazima uwatafune.Kama ukifanikiwa utupe mrejesho
MamndeeAchana na maswali bana we tuma nauli tu
Na yeye anageuka anakua Mwanatanga tenaKabisaaaa. Na hapo waeza shangaa kurudi ndio ikawa basi tena. Hahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mmeonaeee.Na yeye anageuka anakua Mwanatanga tena
Hujambo lakini bibie?
Akimaliza Tanga mjini itabidi apelekwe njia ya kwenda Horohoro apite kijiji hadi kijiji awaone wanatanga wale kindakindaki kabisa, kina 1kushππ[emoji23] [emoji23] [emoji23] mmeonaeee.
Mie sijambo namshukuru Allah.
Hahahaaaaa. Kwa kweli aiseee.Akimaliza Tanga mjini itabidi apelekwe njia ya kwenda Horohoro apite kijiji hadi kijiji awaone wanatanga wale kindakindaki kabisa, kina 1kushππ
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Maji ya kuoga yatiwa hiliki!
vipi kuna warembo lakini?