Natembea na mke wa jirani yangu tena rafiki yangu sana.

una hela kumpa huyu dada au ndio maongezi na chips mayaya tu ?
 
Kwani kuna ubaya gani kuongozana na shemeji yako kwenda kumsalimia rafiki yako hakuna ubaya nendeni tu
 
hicho kichwa cha habari kimenistua! nikajua 'kutembea' kumbe ni kutembea. haya umetupata
 
utapata "views" nyingi sana...
hata mmn natembeaga na mshkaji wangu kwenda mwenge
 
hata kama uko nae kwenye daladala lakini unakoelekea ni kutembea ile ya kiukweli ukweli
 
Jamani matokeo ya Form IV si yameshatokaa:..

Mbona ***** hauishi? Au hawa ndiyo waaliofeli... Au kupata Mwanaasha?
 
Yaani kuna watu wanadhani hapa ndani wote ni watoto.
Mnatuchosha :embarassed2:
 
Yale yale ya Mtambuzi ya kumuacha mke wake, nimefungua kwa speed kuangalia ni mtu gani anatembea na mke wa mtu aisee umeniacha njia panda. Kweli wewe ni complicator
 
Dada waonekana wapenda hela sn ww...njoo kwangu nikupe. Jamaa anamaanisha wanaongozana wote kwenda kwa mgonjwa khaa
una hela kumpa huyu dada au ndio maongezi na chips mayaya tu ?
 
Mmh huuu da! Nilikuwa na hasira dhidi yako kwa vile nachukia sana ufedhuli wenye sura kama hii kumbe we 'unatembea' tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…