Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
upuuzi huu,afungwe jiwe shingmi na akatumbukizwe nungwi ktk mkondo wa bahari awe chakula cha samaki ,huu ni ushenzi kwanini haridhiki na mke wake?aaaargh!!i wish hata dudu likatike ,shenzy taipu
 
Hivi wapendwa mnaotoa michango humu mna hasira saana, ni kweli jamaa kafanya tabia za KISHENZI; Watoto wetu na wadogo zetu wanaharibiwa kama sio sisi wenyewe. Swali ambalo nauliza hizi tabia za kishenzi zinafanyika mitaani.. Huwa kweli mna react kama hapa jamvini? Huwa mnakemea kama mnavokemea hapa? Sababu kama kila mmoja wetu angekuwa anakemea kama ilivo hapa naamini kabisa hizi tabia zingepungua.

Kuna wanaume wengine hapa hapa watapita na watesema ni mshenzi, anastahili kuuwawa, ni shetani na maneno kibao na hali na wao pia wanafanya. Tuacheni unafiki wa keyboard, tukitaka jamii bora tuanze toka mitaani kwetu na kwenye jamii yetu as oppossed by reactin via key board. Haya mambo yapo sana, sisemi kuwa nayaunga mkono ila tu jitazameni kwenye vioo.. muone hasa jinsi tulivo.
 
Mla huliwa, andaa tu hiyo 0713 yako, siku yako inakuja.
 
hiviiii uko sawa kabisa? kumbe una mke? na watoto je? tafadhali sana naomba usiharibu maisha ya mtoto wa watu ingali bado ni mdogo kumsomesha kwako isiwe nguzo yakumfanya kama mistress wako, huyo mke wa mtu nae ana kitimutimu huko kichwani kwake kukubali kuzaa na wewe anagali akijua we ni mume wa mtu!!!!hivi ulikosa nini kwa mkeo???
 

muoe huyo binti wa rafiki yako fasta na uwachukue hao damu yako zaidi ya hapo utakufa tu..
 
Duuh... Unajiona mjanja.. Subiria ukipata UKIMWI kwa tabia zako hizo uje tena hapa uombe ushauri..Sawa eeh??
 
Peleka FB mkashauriane na watoto wenzio huko!!
 
unawezaje kutembea na mtoto wa rafiki yako?
again unatembea na mke wa mtu!!? ni dhambi kubwa ushauri wangu achana nao hao wanawake HARAKA kwa kuwaambia ukweli kua ww sasa umegundua ni kosa kubwa ulikua unalifanya kwa kua na mahusiaano ya kimapenzi nao
 
Hustahili kupewa ushauri wowote wewe! Subiri kiyama chako kinakuja, na hakiko mbali. Mshahara wa dhambi mauti!
 
hivi jamani kutembea na mtoto wa rafiki yako c kama umetembea na mwanao hivi kweli tutapona mwanao na yeye akichukuliwa narafiki yako utajisikiaje je mkeo utafurahi hujui mla vya watu na yeye vya kwake vyaliwa
 
We ni FISADI utajijuwa mwenyewe. Ulipokuwa unastarehe nao ulitujulisha?
 
mwe mwe,,mwanaume Limbukeni wewe,kukojolea wote hao unaona rahaaaaaaa eee,umetishaaa.Haya sasa kidume cha mbegu yamekukuta!!!
 
kwani ulipoanza kucheza huo mchezo mchafu ulitushirikisha?wewe unategemea hapo ushauriwe nini ?
 
na pia ana mke wa ndoa
 
Yafaa jiwe la kusagia lifungwe shingoni kwako kisha utupwe baharini!
 
aiseee hay mambo naonaga kama ni movies tu! kumbe ni kweli??? lol! sasa nina uhakika kabisaaaaaa ukimwi hauwezi kuisha! period!
 
Sijaona jipya hapa,

Nilidhani unaongelea kama 100 wa aina huyo..kumbe ni 2 tu??

Kazi bado mkuu...kanyaga twende....!!

Babu DC!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…