Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.
nashindwa kuamini kama hii si hadithi
  1. umemsaliti mkeo
  2. umetembea na mke wa mtu mpaka kumpa mimba
  3. unatembea na binti wa rafiki yako kwa kigezo cha ulimsomesha
hivi kweli huu ndio 'uanaume'?? hivi huyo mke ulioa ili kuridhisha watu au? hao mke wa mtu na binti wa rafiki wa nini hasa kama sio kumharibia maisha, karidhika kuwa nyumba ndogo yako, roho haiwasuti??

ushauri: kama bado una chembe ya ubinadamu achana na mkeo na waoe hao m---ya wawili, wote mnamawazo sawa hivyo mtaendana
 
We ni mshenzi kweli wa tabia..
Ngoja siku na wewe uje kuliwa ulivyonavyo halafu uje uombe ushauri ukitanguliza madudu yote uliyofanya ndo tutakushauri vizuri.
 
ktk vilaza wewe ndo kiongozi.
Yani unafanya utumbo halafu unafurahia?
We unatakiwa uchomwe moto hadharani kama jambazi tena ununue petroli.
 
Mi naona huna makosa, kwani hao wanawake wakati unawatongoza walikua wapi? Acha wakome, unajua kila m2 ameumbwa na akili kwa hyo walitakiwa kujitunza wenyewe.
 

kutembea nae ndo kumchakachua au kumlala? ,dah utakuwa una pepo wa ngono manake mmh ,ila piga magoti uombee toba kwani Mungu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi mimi na wewe ili tupate kutubu .ukisha tubu uache kabisa hizo ishu manake tunaambiwa ukitubu afu ukarudia yale makosa uliyotubu ni sawa na mbwa aliyerudia matapishi yake .
 
Mi naona huna makosa, kwani hao wanawake wakati unawatongoza walikua wapi? Acha wakome, unajua kila m2 ameumbwa na akili kwa hyo walitakiwa kujitunza wenyewe.

dah wewe JJB unasapoti jamaa aendelee kutembeza kifimbo cheza dah tutasalimika kweli kwa staili hii Ee Mungu shuka manake hiki ni kizazi cha nyoka
 
Unasikia halloo? Hii stori irefushe ijae nyama kisawasawa kisha ipeleke kwa Shigongo.Ataipokea kwa mikono mitatu akitabasamu na atakukatia mkono mnono baada ya mauzo.Ila usisahau kuambatanisha picha za hao mapacha na huyo binti wa rafikiyo. Nimjuavyo Shigongo, heading (title) ya hii stori ataisuka hivi: ' Fataki la Karne: Latafuna Binti wa rafiki, Lazaa na mke wa mtu! Linahaha kwa woga wa kufumwa na mke!
 
ningekuwa ni mim nisengeweza andika upuuzi huu kamwe lakini kwakuwa wewe ni mpuuzi na hamnazo akilini umejikakamua na kuandiaka kwa style ya kujisifu ukizani ni sifa hapa jamvini.. Wewe subilia kuliwa ndogo tu mla vya wenzie na vyake pia huliwa lazima uhalibiwe 0714 yako wewe
 
Nenda kwa Rev. Gwajima ukatubu hadharani kama yule mkenya 'aliyemteka' Dr. Ulimboka!!
 

Yaani hata kama nikiwa nimenuna nikiongia jf lazima ntatoka natabasam tu'ushauri mzuri sana king'asti asipozingatia basi shauri yake
 
Kwa ufupi wewe ni mpuuzi kwelikweli yaani hata kama umeishaamua kuwa mzinzi umekosa wengine mpaka uparamie mtoto wa rafiki yako na mke wa mtu? Kwa kweli wewe nu mtu mzima hovyooooooooooooooo

mpumbavu kweli huyu, aende akatubu kwanza, aombe sana mungu si mfahamu unaweza ukatenda dhambi ya mauaji!
 
fimboyaasali

Hakuna cha kufanya...Subiri uvune ulichokipanda tu.
 
Last edited by a moderator:
Mi naona huna makosa, kwani hao wanawake wakati unawatongoza walikua wapi? Acha wakome, unajua kila m2 ameumbwa na akili kwa hyo walitakiwa kujitunza wenyewe.
Sina uhakika kama siku ukijua kuwa huyo binti ni mwanao wa kumzaa na huyo mwanamke ni mkeo utakuja na the same comment....
 
Kaazi ipo na si kidogo..
Nilichogundua..kusema dhambi zako ni kosa kuliko kubaki nazo..
Halaf mbona tunamshutumu yeye tu na hatuwasemi hawa wanawake aliolala nao?
Mkuu fimboyaasali madam umelijua kosa..achana na uzinzi..
The easiest way ni ku'foregone' everything..anza upya!
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina haja ya kukushauri ila naona umetudhalilisha wanaume wote hapa duniani kwa ubaladhuli ulioufanya, jitazame kwenye kioo uone kama unahakisi kweli kwa unayoyafanya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…