Natembea na mtoto wa rafiki yangu pia nimezaa na mke wa mtu

Status
Not open for further replies.



Leo nimekubali kwamba mie ndiye sijui kusoma posts za wadau wenzangu....

Baada ya kupitia michango ya wengi ukiwemo huo wa kwako wewe gfsonwin, nimegundua kuwa sijui kusoma posts za watu....Imenibidi nijaribu tena na tena kusoma original post nione kama nimeilewa vizuri....

Hivi, kuna mahali popote (ukiacha hiyo sentensi ya mwisho ambayo nayo imechomekwa) ambapo mlete mada kaonesha kujutia alichokifanya na kwa hiyo anaomba ushauri wa kuachana na mambo hayo??

Na pia, ni wapi kasema kuwa anaomba mawazo ya kuachana na huu mchezo mchafu?? Badala yake, naona kama anataka mawazo ya wadau ili aweze kuweka mambo yake sawa. Na mawazo ya namna hiyo yanaweza kujumuisha ushauri wa kuanzisha bustani mpya na kubwaga hizi zilipendwa au kuongeza nyingine mpya juu ya hizi..


Kwa ufupi sina hakika kama nimeelewa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
We ni wa kuua...tu
 

uko sahihi babu DC kama ukisoma alichokisema huyu mtoa mada na kuvaa nafasi ya alichokiandika. ila ukivaa nafasi tofauti na alichokiandika basi utaona kwamba alilenga kutaka kujinasua na ndio maana hajui nini hatima ya kitakacho mtokea. Binafsi nimeliangalia swala hili hata kwanafasi ya mtu kushindwa kuandika anachokiwaza na hii n kawaida kwa walio wengi lakini pia kwangu mimi nimeliona kama tatizo ambalo anapaswa kuondokana nalo na kama kwakufanya hivyo nimekosea i stand to be corrected ama hiyo post ifutwe tu na mods manake itakuwa haina maana kwa mleta uzi.
 
ushauri ambao ninao kwako wewe ni kua uende kanisani ukakutane na mchungaji akuombee ili shetani la ngono na uharibifu wa viumbe vya Mungu liweze kukutoka. Watu ka nyie ni wa kufungwa jela..unakula mpaka mtoto wa rafiki yako...that's a disgrace
 
wewe una pepo mbaya sana.... Inafaa ukemewe wewe, huyo mwanamke na hako kabinti, kwani nyote ni wazinzi msio na mfano na mna laana za shetani!!!!
 
Wewe ni noma,cjui nikuweke kwenye kundi gani? Hufai kuwa rafiki hata kidogo.
 
daaaaaaaaaaaah namuhurumia rafiki yako.... ukisikia rafiki mnafiki ndo wewe......

unafaa wakugeche walaahhhhhhh


nakutakia kufaudu kwema...
 
sasa unataka tukusifie au iweje? Maana hakuna jipya la wewe kupewa sifa hapa zaidi ya kukuonea huruma kama wengine wanaofanya hivyo
 
Kha sioni hata cha kukoment!foolish. no mana unakuta watu wana aa ngoja nisiseme
 
Hauna cha kufanya mzee,umeshaharibu maisha ya watu,sijui ukisema ni kazi ya shetani kama watakuelewa,mi nafikiri tamaa zimekuzidi.tubu haraka.

mimi nilifikili umeisha fanyiwa u CAMMERUN .....sana sasa unataka kuacha hako kamchezo....kumbe CHIZI pole
 
kwa jinsi ulivyoandika hii story yako inaonyesha we n mtoto sana. na ndo mnaifanya hii forum ipoteze maana na uhalisia wake.
 
Kwa the way umeandika ni kama uko proud of urself kwa kufanya hivyo, na ka ni kweli uko kwenye bonge la mess tena u muharibifu kiasi kwamba nashndwa hata kukushauri!

Unastahili like yangu mkuu, ni haka kasim tu...yaan nakuunga mwili wote kwenye haya mawazo yako..huyu jamaa mzushi na mchafuzi..
 
Sema tu wewe mleta mada subiri haya unayotenda sasa yatakutokea tu,maan hapa duniani what goes around comes around.tulia hivyo hivyo...
 
Umenikwaza sana kwa huu uchafu wako.
 

You deserve to walk into the gallows; you shameless moron!! aaagh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kwanza siamini kama hii story ni yako na ni ya kweli japo kwa jamii yetu ndo mambo yalivyo.
kama nikweli basi endelea kupokea matusi ya madada ambao nauhakika ungesema mbele yao wangekupiga na viatu leo
ila lililo muhimu punguza uzinzi kwa manzingira hayo unaweza kutembea hata na binti yako kabisa.
mbaya zaidi umetumia umaskini wa rafiki yako kumdhalilisha mwanaume mwenzio this is too bad!
 
Shetani akisingiziwa hapa itakuwa kaonewa
Na wala hakuwepo wakati haya yanafanyika
Una ndoa bado una kibinti umekiweka pending
na bado umeenda kuchukua mke wa mtu ukazaa nae
na mkeo huko nyumbani wamwambia unampenda kuliko kitu chochote
Kweli hapa shetani kaonewa
hata yeye atakukana kuwa hakuwa na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…