Natembea nimevaa Barakoa

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu Salaam!.

Juzi nikiwa nimemaliza dozi ya UTI nikasema ngoja nijipe pole kwa kujivinjari na mpenzi wangu.

Katika kujivinjari akaniomba nizame uvinza na mimi bila hiana nikazama, Tukafanya ya kufanya mpaka mwisho.

Sasa Leo nimeamka mdomoni kwa pembeni kukiwa na upele wa kutosha,Now natembea nimevaa Barakoa Ili kuficha hivi vipele.
Ndugu zangu tusizame tena uvinza hakufai.

Nawasilisha.
 
Mpenzi wako kaoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…