Habari wapendwa.
kwa wale wenye viwanda vidogo na vikubwa karibuni sana. Tunatengeneza cherehani aina zote.
Iwe changamoto yoyote inayo husiana na ushonaji karibu umepata suruhisho.
Gharama zetu ni nafuu popote tuna fika tunapatikana dar es salaam ila hata mikoani tunafika kwa gharama zako.
0623593536