Natengeneza friji, friza na viyoyozi

Natengeneza friji, friza na viyoyozi

HORSE POWER

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
2,238
Reaction score
1,577
Habari wanaJF.

Kwa wenye uhitaji wa mafundi friji na friza,halikadhalika kufunga AC na kutengeneza AC pindi ziletapo changamoto, karibuni Seneta Electrical & Cooling system workshop iliyopo Kisemvule.

Huduma zetu ni door to door.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie:
0694575787,0774497962
 
Nina frige langu linawaka lakini halipati ubaridi kabisa. Shida inaweza kuwa nini.

Tangu nichukue halijawahi fanyiwa ufundi wowote
Habari wanaJF.
Kwa wenye uhitaji wa mafundi friji na friza,halikadhalika kufunga AC na kutengeneza AC pindi ziletapo changamoto;karibuni Seneta Electrical & Cooling system workshop iliyopo Kisemvule. Huduma zetu ni door to door.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie:
0694575787,0774497962
 
Kiyoyozi cha type ya window kimezima ghafla na hakifanyi kazi tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom