Natengeneza kadi na keki za sherehe mbalimbali

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Ninatoa huduma za utengenezaji wa KADI na KEKI za sherehe mbalimbali kwa kiwango cha hali ya juu na zilizo bora, kadi za mialiko mbalimbali kama vile kipaimara, Komunio, Sendoff, Harusi na Kaid za pongezi na seasonal , Business card, Natengeneza na gift items mbalimbali

Naprint vitabu , Tshirts, caps, mugs, business card, brochures, stickers, poster, banners, rollup banners, gazebo, keyrings, magazine, vijarida, pvc ID Cards, forms, nafanya embloidering katika uniforms mbalimbali, tshirts, n.k

Natengeneza keki aina mbalimbali kama vile za Birthday, Kitchen party, Sendoff, Harusi na za pongezi mbalimbali
Karibu kwa huduma hizi wasiliana nami kwa pm




KARIBUNI
 
karibuni kwa huduma hizi wapendwa
 
Keki ya laki moja ipoje
Naomba picha yake au inakuaje
unataka keki ya harusi, birthday , graduation, kipaimara au unatakaje mkuu nifafanulie zaidi ili nijue nikutumie hiyo keki ya laki
 
Umeadimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…