devied_coder
New Member
- Jun 10, 2020
- 1
- 1
Habari wana JF
Natoa huduma za utengenezaji wa graphics kama ifuatavyo
Napatikana Dodoma
Mawasiliano 0714874039 au 0753039599
Natoa huduma za utengenezaji wa graphics kama ifuatavyo
- Natengeneza LOGO kwa matumizi ya ofisi,biashara au matumizi binafsi.Bei ya kutengenezea logo ni Tsh 30,000 na ukinitafuta
- tutazungumza kuweka mambo sawa
- Natengeneza FLYER kwa ajili ya kutangaza biashara yako kwa Tsh 20,000
- Natengeneza POSTER kwa bei nafuu Tsh 20,000 nakutengenezea bango zuri sana
- Pia natengezeza business cards kwa Tsh 15,000 tu
Napatikana Dodoma
Mawasiliano 0714874039 au 0753039599