Natengeneza logo, flyer na Poster
Habari wana JF
Natoa huduma za utengenezaji wa graphics kama ifuatavyo
- Natengeneza LOGO kwa matumizi ya ofisi,biashara au matumizi binafsi.Bei ya kutengenezea logo ni Tsh 30,000 na ukinitafuta
- tutazungumza kuweka mambo sawa
- Natengeneza FLYER kwa ajili ya kutangaza biashara yako kwa Tsh 20,000
- Natengeneza POSTER kwa bei nafuu Tsh 20,000 nakutengenezea bango zuri sana
- Pia natengezeza business cards kwa Tsh 15,000 tu
Huduma natoa kwa wakati na namsikiliza mteja
Napatikana Dodoma
Mawasiliano
0714874039 au
0753039599
Kama unahitaji logo kali kwaajili ya biashara yako basi usikose kupitia hapa ili uchague zipo design mbalimbali za logo: