NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Mkuu, Jitahidi kufungua garage ndio italipa vizuri.Poleni sana kwa maelezo yasio jitosheleza, lakini najibu maswali ya wadau wote.
1.sina ofisi ila ukiniita nakuja ulipo na vifaa vyangu.
2.vifaa sio tatizo tatizo ni uwezo wa fundi kufanya hizo service za magari wadau.
Na magari ambayo ninatengeza ni aina zote sollon Gar.
4.Ambaye atakuwa serious na kazi naomba tufanye kazi wadau.
Asante kwa ushirikiano wenu wakuu..
Poleni sana kwa maelezo yasio jitosheleza, lakini najibu maswali ya wadau wote.

ndugu kuwa serious kidogo. kuna kazi unaweza kuja kufanya nyumbani kwa mteja na kuna kazi huwezi kufanya nyumbani kwa mteja??? sababu kuna kazi ni chafu zinahitaji garage,utamwaga oil na kusababisha parking yangu kuwa garage.
kuna kazi zinahitaji gari iinuliwe juu ndio zifanyika kwa urahisii sasa nyumbani kwangu utatumia nini jeki?? fungua garage kaka.