Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,705
Mkuu unamaanisha kufanya installation ya windows au? kama ni hiyo hata mtoto Wangu ana 9yrs anaweza hiyo kazi, nitafute nikuunganishe naye akupe ujuzi zaidiNatengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana sana nakukupa cd ya window8 2014 septembar na pin zake yoyote anae hitaji
we unachekesha sana uyo mtoto wako kama anafanya windows bc itakuwa xp nawewe umezidi sana unajua windows7 mimi najua windows 8 nauyo mwanao hata wewe hata utambie uwezi kupiga windows8Mkuu unamaanisha kufanya installation ya windows au? kama ni hiyo hata mtoto Wangu ana 9yrs anaweza hiyo kazi, nitafute nikuunganishe naye akupe ujuzi zaidi
Acheni dharau KRAPKA DAVINOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!
Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana sana nakukupa cd ya window8 2014 septembar na pin zake yoyote anae hitaji
wala usijari najua ulikuwa unanitania tu ila kuhusu xp inategemea na kompyuta yake ili yo kama uwezo wake mdogo katika random access unit au control poccesing unit hata kwenye mass storage hd nitaweza vp kumwekea windows7 itabidi atumie iyo iyo xp anaweza kufanya vitu kama typing ,priting, et cmkuu, lengo la jukwaa hili ni kupeana taarifa za teknolojia mpya, gajeti mpya, kuelekeza mbinu mbalimbali za kutumia vifaa au software effectively bure kabisa. Wadau wa jukwaa hili ni wakarimu ni wenye kujitolea sana.
kama lengo lako lilikuwa ni kutoa huduma au kuuza huduma yako basi unge andika uzi wako jukwaa la matangazo madogo...
kuhusu ku install windows karibu kila member wa jukwaa hili anajua kuinstall maana tunaelekezana bure bila malipo yoyote...
nakushauri uwe unapitia hili jukwaa kujifunza mengi... nisamehe nilikuwa nakutania kidogo. nahisi we ni mgeni jukwaani ndio maana ulishindwa kujua kama nakutania....
usiwawekee watu windows xp. ishapitwa na wakati. microsoft wameacha kuisapoti.
ahaaaa we mkali mimi mkuu nafanya kazi zangu kitaa tu sitaki mtu aniajiri na nawapigia watu kwa bei powa sana sana na wala sio partner wa micro soft mkuu nisine kufungwa si unamjua bill gates kwenye biashara zake ataki mchezo kabisa ndio maana kila mwaka tajiri yeye tuMkuu unafanya windows server installation? Kuna jamaa wanafungua ofisi naweza kukupa mchongo wanahitaji Windows server 2012 r2 kwa mashine 6 na uwafanyie virtualization. Nipe quotation ya licenses/labour. Wewe ni Microsoft authorized reseller/partner ?:glasses-nerdy:
mbona umeshangaaa mimi mtahalam wa mashine mkuuHaaaaaaa
jamani nimechoka na maswali nimesema nafanya istall ya windows 8 sitengenezi windows8 kwanza utaweza wapiiiimwizi mwizi mwizi, umedownload bure halafu unataka kuuzia watu 50,000? kwanza hata unavyoelezea unaonekana kabisa huna utaalamu wowote. Tumia huu muda kujifunza mambo ya mbele zaidi uongeze ujuzi na sio unaanza utapeli mapema hii. Kwanza sijakuelewa,unasema unatengeneza windows 8 kwani imeharibika au unatengeneza from scratch ya kwako mwenyewe(utakuwa wa pili duniani)?
Labda nikupe tu idea kama una muda wa ziada jaribu kutengeneza software za kutumika kwenye hiyo windows 8 tumuuzie Microsoft unaweza kutoka na kupeperusha bendera ya Tanzania kuliko kuja kuwaibia masikini wenzako, na next time kapost kwenye magroup yenu facebook sio hapa kwa great thinkers.
ahaaaa we mkali mimi mkuu nafanya kazi zangu kitaa tu sitaki mtu aniajiri na nawapigia watu kwa bei powa sana sana na wala sio partner wa micro soft mkuu nisine kufungwa si unamjua bill gates kwenye biashara zake ataki mchezo kabisa ndio maana kila mwaka tajiri yeye tu
mimi nilijifunza nilipokuwa haiti mwaka jana kule nchi masikini sana ila wamekuwa na elimu sana sana watoto wadogo sana wanafanya hay mambo ,mimi nina uwakika wewe nikikupa utoweza kuingiza iyo windows8 na ikakaa hata wiki moja tu bila mashine kuwa nzitohujaelewa swali amekwambia hivi unaweza kufanya iyo windo serve insallation?
kama unaweza akupe dili la kufanya kwa pc hizo sita .
ila akakuuliza jee Wewe ni Microsoft authorized
reseller/partner ? cuz kuuza hizo copy za windo kama siyo microsoft authorized reseller/partiner ni ilegal work.
sasa basi nimeamini umeshindwa kuelewa swali dogo tu katika kimombo. na installation ya windows ni full kimombo. hivyo unanithibitishia kuwa unafanya installation kwa kukariri kama ulivyokaririshwa ndo maana unaona ni kazi ngumu sana.
ok sasa itakuwa wapi mkuu mbona hata katika jukwaa la biashara aipo mkuu
mimi nilijifunza nilipokuwa haiti mwaka jana kule nchi masikini sana ila wamekuwa na elimu sana sana watoto wadogo sana wanafanya hay mambo ,mimi nina uwakika wewe nikikupa utoweza kuingiza iyo windows8 na ikakaa hata wiki moja tu bila mashine kuwa nzito