Natengeneza windows 8 kwa bei nafuu sana

Huyu mleta uzi huu hanala msingi alilolileta hapa ..nimereview coment zake...ni kama mtu ambaye analeta jokes......hayuko serious na anachokifanya....hapa..
 
Huyu mleta uzi huu hanala msingi alilolileta hapa ..nimereview coment zake...ni kama mtu ambaye analeta jokes......hayuko serious na anachokifanya....hapa..

kimsingi hana hoja anayoitetea hapa
 

hivi ata umeelewa alichokiandika jamaa.kwa huu mtindo inaonyesha hii kuweka("kutengeneza") windows umejua sasa hivi na hujui nini kinachoendelea.uwe unatembelea hili jukwaa utajifunza mengi sana na utajua vingi zaidi ya hiyo "kutengeneza" window8. :angry:
 
pa mzee nipe iyo kazi mimi namba zangu ni 0652 474748
 



Kabla ya kujifunza Computer ungejifunza Kiswahili na kiingereza kwanza angalau ujue namna ya kuwasiliana na wateja wako;

nisine= nisije
micro soft= Microsoft
bill gates= Bill Gates
usijari= usijali
poccesing= processing
priting= printing
haiti= Haiti
uwakika= uhakika
utoweza= hutoweza
hay= haya
 
mteja anajari mazi zaidi lugha aina maana kwake ili mradi umtukani tu
 
pa mzee nipe iyo kazi mimi namba zangu ni 0652 474748

soma vizuri comment yangu utagundua mm nilikuwa nakukosoa na sio mm ndo mwenye hiyo kazi. haupo makini na kusoma coments

soma cimments za nyuma kidogo utamkuta huyo mtu wa kukupa hiyo dili.
 
soma vizuri comment yangu utagundua mm nilikuwa nakukosoa na sio mm ndo mwenye hiyo kazi. haupo makini na kusoma coments

soma cimments za nyuma kidogo utamkuta huyo mtu wa kukupa hiyo dili.
ok safi sana mambo ndio kama hayo kueleweshana na sio matusi ila mzee nipo makini sana na coment
 
mkuu uko wapi? nataka unifanyie windows. unafanyia sh.ngapi?
kwani umekuwa mzito hivi au umepoteza kumbukumbu au windows ipi iyo unayotaka au windows ya kufunga window
 
we unachekesha sana uyo mtoto wako kama anafanya windows bc itakuwa xp nawewe umezidi sana unajua windows7 mimi najua windows 8 nauyo mwanao hata wewe hata utambie uwezi kupiga windows8

duh inafurahisha sana
 
ama kweli hawa ma graduate wakihitimu chuo wanafikiri kila mtu ni mbulula...
hapana mkuu katika hali ya kuelekezana ila mtu ukubali kama ujui ,kibaya zaidi ujui alafu mbishi hii inaleta ugojwa wa ubumbula, kwani dalili za ugojwa wa ubumbula ni ubishi
 
teh! Teh! Kwi! Kwi! Mzee wa shamba vp shamba lako aliuzwi naona lina mazao ila kama umelitelekeza vile nipe mimi bc

hahahaha, mwizi akitaka kuvuna anavunaga kimyakimya usimshke mkono mwenye shamba, we zama kimyakimya unavuna mwenye shamba anakuja kushtukia watu washavuna...teh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…