Nateseka kungoja

shemeji kulikoni??? lol! funguka mwambie akuje! khaaaaa!

Sweet shem cacico! Halafu wataka nitaje herufi? Mswalie ntumeee! Kweli!

"nateseka kungoja fanya uje kwa haraka"
 
Last edited by a moderator:
Owowowo nikupe nini sasa e maaama
Owowo nifanye nini sasa e maaama .........

Jamani tumetoka mbali mi na wewe!
 
Kaizer kumbe hata wewe unakamwatwaga pabaya? lolz, nina upako na nimeona kila dalili anakuja. Kila la kheri mkuu..
 
Dah.....hivi ni Kaizer huyu huyu, mtendaji wa infii ndo anaongea haya?? La! la! la! laaa! Kweli njaa haina baunsa!!!

Kipipi mbona kama unalala unaota nipatwe na mabaya!? Shindwa!
Halafu infi ndo nini?
 
Last edited by a moderator:
Nilivyoona heading nikajua ni Erickb52 kammiss Amyner.......kumbe jemba tofauti kabisa duh! Lol

Kipipi hicho ndicho kilichonivutia ku comment. pamoja na kusema sio mdau wa chit chat na mkoloni wangu kubania mtandao nikaona nikitoka hivi hivi haitalipa! hebu nijirudie zangu kazini. lolz, endelea kuchokoa nije nisome majibu yenu baadae labda tutaelewa. hahaha!
 
Hivi ndo nini,

Kwa nini,

"mapenzi yananiuvunja mgongo miye"
 
Kipipi mbona kama unalala unaota nipatwe na mabaya!? Shindwa!
Halafu infi ndo nini?

hahah.....Kaizer leo umenifurahisha kweli, hujui infii wewe, au kwa vile Teamo hayupo eeh? Alafu.....tafadhali bwan'shee, kulikoni mie nikuombee mabaya na mwezi huu kweli?? Au unajihisi tu? Lol
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…