Nateseka kungoja

Dogo Erickb52 umeona eeh?
Yah nimeona....hivi bado hajapatikana?
Pia naomba umwambie Kipipi nimemmiss sana toka moyoni....japo beep inatosha kusuuza mtima wangu
Halafu mi nilingoja wangu hajaja hadi leo nimeamua kuwa mpole... Kaizer karibu kwenye chama cha kungoja uwe katibu wangu!
 
Last edited by a moderator:
hahah.....Kaizer leo umenifurahisha kweli, hujui infii wewe, au kwa vile Teamo hayupo eeh? Alafu.....tafadhali bwan'shee, kulikoni mie nikuombee mabaya na mwezi huu kweli?? Au unajihisi tu? Lol

Kipipi , kwa kauli na matendo, hakika unaniombea mabaya ila ndo ivo niko vzri! Hujanambia infi ndo
Nn?

Asprin popote ulipo come and take Kipipi.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Umeona eeh! Ila bahati mbaya usingizi umenishika, ngoja kwanza nami nikalale though natamani niendelee kuwepo hadi bibie ashow off! Lol
 
rabekha hubby wangu! mbona hujajibu pm!? mazafanta hubby, nijibu haraka kabla sijachukua maamuzi magumu na mazito! ya kudai talaka, lol

cacico jamani msidaiane hapa mbelr yangu naendelea kumngoja sasa mtaniongezea huzuni! Please
 
Last edited by a moderator:
Kipipi , kwa kauli na matendo, hakika unaniombea mabaya ila ndo ivo niko vzri! Hujanambia infi ndo
Nn?

Asprin popote ulipo come and take Kipipi.

Heheh......huo wote ni wasiwasi wako tu Kaizer, kwani hujiamini?? Alafu huyo babu unamwita aje anipeleke wapi? Hata hivyo naenda zangu kulala......nitakie usingizi mwema ili nilale nikikumbuka maana ya infii!!
 
Last edited by a moderator:
Basi hata sijui tumuweke fungu gani cacico
fungu la kukosa lamfaa! hivi Kaizer ushawahi kutana na mwanamke ruba? king'anga'nizi mpaka anatamani aivunje ndoa yako, au amroge mkeo?? lol" yamemkuta hubby wangu, mpaka kaja kunisimulia, kuwa anajuta kucheat! lol, nisaidie basi kuandika thread ya ushauri khaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Heheh......huo wote ni wasiwasi wako tu Kaizer, kwani hujiamini?? Alafu huyo babu unamwita aje anipeleke wapi? Hata hivyo naenda zangu kulala......nitakie usingizi mwema ili nilale nikikumbuka maana ya infii!!
" Eee Mungu wa Majeshi mlaze pema Kipipi ili aweze kukumbuka maana ya infi Amen"

Baada ya sala fupi naendelea kumsubiri mpenzi wangu mwenye shingo ya upanga....
 
Last edited by a moderator:
Dah naona Kaizer anachomeshwa mihogo...!

52 mambo niaje? Za siku !
Msaidie mtu hapo mihogo inaelekea kwisha, atachoma na mahindi , muitishie mlengwa wake, labda alipo hamna Netiwakinga (netwk)
 
Last edited by a moderator:

Makubwaaaaaa cacico, mi mke wangu mbona ndo kaniganda eti anasema ataniloga lol sasa inappkuwa ivoo ndo inakuwaje? Khaaaa

( come this way shemeji)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…