Nateseka kungoja

Mfate bana, or else use those electronic resources effectively! Usijelegea kama Kaizer....lol!
Heheheee sawa Kipipi ngoja nicheck nae kwa kilongalonga ila nammiss sana huku kwa ChitChat
 
Last edited by a moderator:
52 mambo niaje? Za siku !
Msaidie mtu hapo mihogo inaelekea kwisha, atachoma na mahindi , muitishie mlengwa wake, labda alipo hamna Netiwakinga (netwk)
Hahahaaaaaa anaweza yachoma mamihogo hadi yaungue lol
Mi mzima Judgement...
 
Heheh......huo wote ni wasiwasi wako tu Kaizer, kwani hujiamini?? Alafu huyo babu unamwita aje anipeleke wapi? Hata hivyo naenda zangu kulala......nitakie usingizi mwema ili nilale nikikumbuka maana ya infii!!

He he he Kipipi wangu jilalie mwaego achana na huyu bwana infii....lol
 
Last edited by a moderator:

Erick utanimiss saana mwaka huu, na hivi simu yangu kipenzi ndo imeibiwa......yaani ntaonekana kwa machale kabisa! Sema yote mpenzi kabla sijadisappear, kama kukubeep nishatimiza na nitakupigia kama utapenda! Btw, sikujua kama huwa unanikumbuka kiasi hicho Erick, theeenks!
 
Last edited by a moderator:

Erickb52 ndo nini hiki?
 
Last edited by a moderator:
Na nililala unono kweli my Yummy, huyu Kaizer sijui ananitakia nini kwa huyo mume wenu ilhali anajua fika mie siwezi kukafollow hako kakikongwe kenu....lol!!

Lol....huyu mnaemuona kikongwe ni kwenye macho yenu Kipipi wangu sie wenzako tunamuona ndo kwanza switi 24 waulize wake wenzangu watakupa za chini ya uvungu.
 
Last edited by a moderator:
cacico, milele amina mpendwa wangu! Lakini hapo uliponiweka kwenye fungu la kukosa.....mbona imekaa kinegative sana, huoni kama hujanitendea haki wajameni?? Sawa tu.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…