Nateseka kungoja

Dah Kipipi mylove....
Huwa nakukumbuka sana tu na hapa sijakuona hewani siku ya tatu lol
Naumwaje?
Come back bby usinifaniyie kama nanii!
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 ndo nini hiki?
Kwani Kaizer kipi kigeni kwako?
Acha basi mdogo wako nienjoy na nimpendaye kwa dhati....mh nina raha kuwa na Kipipi usiseme kabisa lol
 
Last edited by a moderator:
Dah Kipipi mylove....
Huwa nakukumbuka sana tu na hapa sijakuona hewani siku ya tatu lol
Naumwaje?
Come back bby usinifaniyie kama nanii!

Pole saaana mpendwa wangu, hutakiwi kuumwa bali kuzoea tu! Btw, nitakuwa napita kama hivi kuwacheck.....sio mbaya! Alaf usiwe na wasiwasi nanii atarudi tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…