kaka tembo
New Member
- Mar 24, 2013
- 2
- 1
Habari za kazi wana jf mie bwana nina tatizo mwaka wa 3 nimejaribu kwenda ospitali mala kwa mala lakini wapi tatizo langu nina fangasi sehemu za sili na ugonjwa wa mgozi usoni nikitumia dawa uwa napata afadhali kwa muda tu dawa ikishaisha ugonjwa uko pale pale naombeni msaada wenu wataala mu wa magonjwa ya ngozi..!