Nateseka na ugonjwa wa ngozi..!

kaka tembo

New Member
Joined
Mar 24, 2013
Posts
2
Reaction score
1
Habari za kazi wana jf mie bwana nina tatizo mwaka wa 3 nimejaribu kwenda ospitali mala kwa mala lakini wapi tatizo langu nina fangasi sehemu za sili na ugonjwa wa mgozi usoni nikitumia dawa uwa napata afadhali kwa muda tu dawa ikishaisha ugonjwa uko pale pale naombeni msaada wenu wataala mu wa magonjwa ya ngozi..!
 
Nenda scoan ukafanyiwe maombi utarudi mzima wa afya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…