natesekea mapenzi

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
567
Reaction score
400
nina mpenz wangu ambae tupo nae kwa muda wa miaka mitatu sasa,cku za hivi karibuni ameanzisha mawasiliasno na mpenz wake wa zamani na nilipogundua nilimwonya na kutafta njia za kuwasiliana na huyo mwanaume na akanambia ni kweli walikua na mawasiliano ila mpenz wangu hakumwambia kama ana mtu tayari,nilimwambia akanielewa,juzi mpenz wangu anakuja rum ananiambia hapendi niwe nawasiliana na mpenz wake na akatyaka tubadil information detail zetu z fb,aandike yupo single na mengine mengi,nimekua mtu wa kuadhirika kimawazo kwani shindwakufany kazi zangu kwa kiwango kikubwa mpaka bosi wangu leo kaniweka kikao kujua tatizo nini,naombeni ushauri wenu wana jamvi juu ya huyu dada,
 
Forget her...,
Time is the best healer..., unapokaa nae nusu nusu (wakati yeye hakutaki) unajikosesha kukutana na wengine ambao ungekutana nao lakini huwapati sababu wanajua haupo available
 
pole sn mkuu hayo ni mapito tu kazi moyo utayashinda
 
Mahawara hawaachani kamwePiga chini haraka sana atakutesa baadae
 
pole saana kijana. binti ameshaonesha dalili kwamba hamna FUTURE hapo. Fanya maamuzi magumu sasa. The sooner the better.
 
Mahawara hawaachani kamwePiga chini haraka sana atakutesa baadae
By that token 80% ya watu wote walio kwenye mahusiano wana-cheat.., sababu 90% ya watu wanaooana au kuja kuwa pamoja walikuwa na previous relationship.

Nadhani hata wewe utakubaliana na mimi kwamba ulilosema halina ukweli wowote
 
unafanya nini hapo? wengine yalishatushinda tukasepa ki1, dunia hii maisha mafupi ya nini mtoto wa mwenzako akutoe jasho??
 
Kaburu mdogo
My dear as you aware a relationship is btn two people, ila mmoja akisha check-out ie kama huyu mrembo wako it ceases to exist , irrigardless of the feelings of other partner be it love, pain etc.Therefore move on Mkuu, what else are you waiting?
 
eti kwani wewe umemwambia mtafunga NDOA lini? Manake isijekuwa unajipigia tu miaka yoooote. Understand her expectations.
 
Toka nduki kaka,asije akakukanumba huyo.
 
eti kwani wewe umemwambia mtafunga NDOA lini? Manake isijekuwa unajipigia tu miaka yoooote. Understand her expectations.

uzuri anajua malengo yangu kwake maana nimekuwa muwazi sana kwake,nimeachana na rafiki zangu wote wa zamani kwa ajili yake
 

Pole sana bro!, em jaribu kukaa nae umuulize kipi kimefanya abadilike inaonekana upendo wake kwako umepungua, so akwambie sio akufanyie vituko kama akiendelea achana nae, bahari ina samaki wengi sio yeye tu pekeake
 
Unataka kuanza kuachwa? Ni aibu sana kwa mwanaume kuachwa au kulilia mapenzi.....usituaibishe...!
Unajua kuna vitu vya kuumiza akili kama ukiamua kuiumiza mwenyewe....Kwa hapa mi sioni la kukuumiza akili...
Solution ni rahisi sana.....
 
Achana nae hapo lile JINI KISIRANI linaloimbwa na diamond lishaingia, LET HER GO, NB; "Mwanaume Kuwa na mali sawa na demu kuwa mzuri"- MwanaFA.. So piga kazi mkuu ukiwa na maisha yako ya ukweli watajieleta tu wenyewe including yeye, mapenzi yanatucost sana kwakweli..
 
What the hell are u waiting 4??tupa kule,kwani pacha wako huyo?mtu kashaonesha hana penz la dhati,,achana nae,tulia,piga kazi,utapata msichana wa maana who knows wat love iz
 
utapata brein konkasheni bureee...hawa viumbe ni nomaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…