natesekea mapenzi


Watu wengine mnachefua kweli,we ushaona moshi,ushaona cheche bado tu unataka ushauri? Subiri Moto tu.
 
Kumbe ata wanaume hua mnaumia i didnt know that, uyo dada bora akuambie ukweli ujue moja kabisa unaumia mara moja unasahau,japo itakua ngumu, unajikaza kiume
 
Mkuu una roho ya paka aisee. Bado unang'ang'ania tu. Mwishowe atakutoa roho. Mimi nashangaa kwanza watu wanaopenda sana, mimi napenda below 50%.
Mimi najua wapenzi wa zamani huwa hawaachani ila wanasitisha kwa muda tu ila siku wakimisiana wanarudisha majeshi.Anayebisha ajinyonge
 
Nafikiri huyo gf wako Ndio aliachwa na hicho kijeba, kitakua kinamla, achana Naye jamaa atampotezea mda baadae atamtosa then katajileta kwako ukatose Kashenzy haji.


 
una umri gani ww? miaka 3 longolongo tuuuu hebu mwache ndo utajua wewe hukumfanyia nini
na je wewe binafsi una maamuzi gani?
maana watu kama nyie huwa mnaomba ushauri alafu mkipewa wa ukweli mnaumia....
kama unaona bado unampendavumilia tu ila usije kusingizia kakuua huko mbeleni
 
Huu ushauri mbatata Wa mfumo shoga, mwenzako kakwambia anatesekea mapenzi, maana Yake yupo tayari kuoa. Watu wenye mawazo Kama hayo wake zao wanamegwa na hawakujui.


 
Nishatendwa na nawachukia viumbe wa dizaini hiyo balaa., Mkuu niPM namba yake asee., au fb yake nikusaidia kumfunza.
" I mean it"
 

Kaeni mwongee kuhusu mahusiano, hakuna kisichowrzekana. Yaonyesha mwaanza kuchokana na mazungumzo ya mahaba hutibu hayo yote. Try being romantic.
 
Ndugu yangu chezea mshahara usichezee kazi kiufupi huyo demu hakupendi ata kama mtakaa mtasolve atarudia tu madem watu wa ajabu sana ukiwaendekeza waeza acha kufanya mambo yako ya msingi mwishoe kazini wanakuchoka unafukuzwa afu unakuja kumkosa mwana na maji ya moto.kaka piga chini fastaa chapa lapa mie washantesa sana saiv nachkua takeaway tu uyoo mdogo mdogo maisha yanaenda.
 
if u real love it you will let it go...najua we mwenyewe jibu unalo sema hutaki amin tu
 
miaka yote mitatu mliyokaa pamoja, mlipanga nini baadae? isije ikawa kakuona na wewe ngonjera na mashairi mengi future hakuna, yawezekana wa kale huyo kaja na shairi la ndoa. hebu jaribu kutafakari kwanza kabla hujafukuzwa kazi ilhali mwanamke kakuacha. songa mbele kama hakukua na la maana mbeleni.
 

Mbona hauendani na jina lako KABURU MDOGO, ninavyoyajua makaburu si yanakuaga makatiri, katiri, na wanawake huwa tunapenda bad boys, ila wewe nikikusoma kwenye hii thread yako unaonekana unalia, lia, kama unataka kuonewa huruma, mapenzi huwa hayaitaji huruma, piga chini huyo mapenzi gani hayo ya masharti, inavyoonyesha hajaachana na huyo jamaa yake, maana kama alishaachana na huyo jamaa basi asingekuwekea masharti ya ww kutokuwasiliana na huyo, pia ameshaona wewe ni mpole, anataka kukukalia, kuna thread humu inasema wanaume wanaokaliwa na wake zao mara nyingi nguvu za kiume huwa zinapotea, shauri yako na wewe kama unataka kupoteza nguvu zako za kiume kwa mtu ambaye anaonekana kabisa hana mapenzi ya kweli na wewe.
 
temana nae.....mbona kila kitu kipo plain and clear? au unangojea ishara angani? time heals pal.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…