Natia nia ya kuoa

sir maka

Member
Joined
May 14, 2020
Posts
38
Reaction score
40
Habari zenu watu wa Mungu, mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 39, ninahitaji mwanamke wa kuoa, nawakaribisha sana wanawake wenye uhitaji wa dhati wa kuolewa.

Wasifu wangu nikama ifuatavyo; -Elimu - degree ninazo -Sijawahi kuishi na mwanamke yeyote katika maisha yangu. - Mrefu kiasi, siyo mweupe siyo mweusi. Nimfanyabiashara.

Mwanamke ninaye mhitaji awe; - Anamcha Mungu wa Isaka,Ibrahimu na Yakobo, anayeigiza kumcha Mungu simhitaji. -Mchapakazi na mvumilivu. -Ajue kusoma na kuandika. - Awe kuanzia miaka 20 mpaka 30. -Single mother big no.

Misingi ya maendeleo ipo tayari, yeye aje kusaidia finishing tu.
 
Umeshachukua form?
 
Hahhahahahha
Weka picha sasa kah
 
Kutoka Sir maka 23;07;2020 Baharia katangaza nia ila tatizo hataki single mother,Sasa mkuu isije kuwa na wewe ni single father alafu unawakataa wenzako unataka na DT
 
Tafuta 'sogea tuishi' kwanza...usikimbilie maisha..epusha kutujazia server na thread za kuomba ushauri baadae...BTW, kigezo cha kujua kusoma na kuandika kinahusiana nini na papuchi? tafuta mwenye papuchi tamu ndio uweke ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…