National Audit Office

Gerald David

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
10
Reaction score
0
Jamani mwenye information kuhusu shortlist za auditor garade II, 100 positions, lini hawa jamaamwa secretariat ya ajira wanatoa majina ya waliokuwa shortlisted? mwenye taarifa naomba atujuze!
nawakilisha jamvini!
 
Gerald kiboko,..

hizo thanked zako sijui zimekaaje mkuum,....anyway shortlist bado kiongozi wangu
 
kijana nchi ishauzwa tugawane kilichopatikana
 
yametoka leo..............
soma daily news
kila la heri mlochaguliwa kwa interview
 
Jamani mwenye information kuhusu shortlist za auditor garade II, 100 positions, lini hawa jamaamwa secretariat ya ajira wanatoa majina ya waliokuwa shortlisted? mwenye taarifa naomba atujuze!
nawakilisha jamvini!

waliiomba kazi NAO na NECTA,shortlist ipo kwenye guardian la leo.
 
jamani ndio nimeingia net now mnamaanisha leo tarehe 4 july 2011 msaada tafadhari
 
chek pia kwenye majira ya leo.
All the best kwa wote mliofanikiwa kuitwa kwenye usaili na ambao hamkufanikiwa msikate tamaa ya kuendelea kuapply
 
waliiomba kazi NAO na NECTA,shortlist ipo kwenye guardian la leo.

guardian haina jina hata moja. Yako kwenye majira,unless gazeti ya guardian nliyonunua ni feki.
 
nashukuru ndugu nimeona majina kwenye majira all the best kwa wale wote waliochaguliwa
 
shortlist zimetoka jana kwenye gazeti la Daily news. kuna kama majina 800 hivi mzee. probability ya kupata kazi kama hiyo ni approximately nil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…