The backbone, which is the terrestrial continuation of the fibre optic submarine cables that landed in Dar es Salaam, recently, has already led to a 99 per cent drop in internet capacity charges
Nami naungana na Baba_Enock kuhoji ukweli wa taarifa hizi. Hawa the Citizen walikopi tu hiyo taarifa sehemu au walifanya utafiti wenyewe?! Sijui kama wametoa mifano ya sehemu ambapo hizo bei zimepungua!!The backbone, which is the terrestrial continuation of the fibre optic submarine cables that landed in Dar es Salaam, recently, has already led to a 99 per cent drop in internet capacity charges.
Nakubali kwamba TTCL wakifocus kwenye "bandwidth wholesaling" na kuwa "Data / Infrastructure provider" itakuwa vizuri. Lakini si busara kwa TTCL kucompete kwenye ISP level. Hapa kuna utata kidogo. Kuna "conflict of interest" hapa. Kwasababu ni TTCL wana operate fibre cable, ni wanaprovide bandwidth kwa ISPs. Sasa nao wakija kushindana na level ya ISP itakuwa monopoly.TTCL kama wakitutumia hii infastructure ya broadband vizuri can generate them more income na kama wakifocus ku suply Internet kwenye kila nyumba hasa sehemu ambazo miundombinu ya nyaya zao ipo . TTCL can be the biggest and cheapest ISP in tanzania
Hapo ukweli , bado gharama zipo juu.99% my behind! tusidanganyanye, Internet bado ghali kupita kiasi, bado tuna chargiwa kwa bundles , hawajui internet inatumika kwa kila kitu sasa kucharge kwa bundle bado ghali , mbaka sasa unlimited access ni ghali sana.
Nilikuwa nina swali , Kwa mtanzania wa kawaida , ambaye ana uwezo wa kununua modem na computer. Je uko tayari kulipa Tsh ngapi kwa ajili ya Internet kwa mwezi. -hili jibu litawasaidia hao wanaopanga bei.
B.P
Sijui kama niekupta vizuri lakini sidhani kama TTCL wanahitaji kufungua kampuni nyingine. Mobitel, Zantel, Vodacom na hata Hao TTCL wanatumia mindombinu waliyonayo kuwafikishia wateha internet. hakuna Monopoly hapo. Na licence zinazotolewa na TCRA nadhani hazina vipingamizi.Nakubali kwamba TTCL wakifocus kwenye "bandwidth wholesaling" na kuwa "Data / Infrastructure provider" itakuwa vizuri. Lakini si busara kwa TTCL kucompete kwenye ISP level. Hapa kuna utata kidogo. Kuna "conflict of interest" hapa. Kwasababu ni TTCL wana operate fibre cable, ni wanaprovide bandwidth kwa ISPs. Sasa nao wakija kushindana na level ya ISP itakuwa monopoly.
Fikiria , JE kama Seacom aje afungue biashara ya ISP ! Hawa ISP wengine wata survive kivipi ? Hawezi kuwa Wholesaler na Retailer.
Kama wanataka kuwa ISP pia, TTCL wafungue kampuni nyingine. Na zifanye kazi kama two different entities. Hiyo retail company inunue bandwidth from TTCL at market prices..
B.P