majjita 01
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 232
- 82
si ndio hapo kaka?! hawa jamaa hata hawaeleweki. wanataka kutuaminisha kuwa kuna vyuo vitatoa 2nd batch nakubaliana nao ila kuna baadhi ya vyuo 4m6 waliopata wamejaza kila kitu mf UD BAED 1170 na tcu guide book inaonesha uwezo wa chuo ni watu 1170 i.e kumeshajaa. nacte bhana daah
probem ni kwamba diploma holders wengi hamjitambu. Ud was not ment for you guy kwenda pale ni feva tu kwa sababu ya mfumo wa elimu ni tofauti na qualification yako. Mzumbe, na vinginevyo vinavyo fanana navyo ndio vyuo vilivyo wekwa maalumu kwa kada yenu form six kule ni feva pia. on ATC haingii form 6 kabisaa kwa sababu sio pake pale jaama. Mnanibore diploma mnaofanya elimu yenu kama altenative ya 6.
NACTE mambo tayari kwenye profile.
NIMEPATWA NA TATIZO MOJA. MARA YA KWANZA NIMEFUNGUA PROFILE YANGU NAVNIKAFANIKIWA KUONA CHUO NILICHOCHAGULIWA. ILA NIMEFUNGUA MARA YA PILI HIYOHIYO PROFILE INAFUNGUKA LAKINI DETAILS ZOTE SIYO ZA KWANGU KWANI IMENILETEA MAJINA YA AKINA lucas ouma .
wataalamu wa haya mambo mnisaidie hii inasababishwa na nini?
Labda hujanielewa naona wewe yako ndio itakuwa na tatizo mie nimepita kwenye mfumo huo wa elimu ya diploma mpaka mwisho. ni hivi huwezi fananisha diploma na form 6. Na ud was not ment for diploma sasa ninyi mnaeng'ang'ana na ud nafasi pale ni finyu kwenu ni duce mkwawa mwalimu nyerere adult education kama ni mwalimu. wengine ni vyuo vilivyo chini ya NACTE na sio vikuu kwa sababu ya mfumo wa elimu huku na huko unatofauti. Ka wewe ni mwalimu utakuwa umenielewa ama kama ulikuja kusomea diploma kwaajili ya kukimbiza mkopo hili somo gumu sana kwako.
guyz msilalamike sana,kumbuken selection zimafanywa manualy co computer afu mwaka huu wamefaulu wengi sanaaa kuwen wapole wao pia ni binadam.... wale wa nacte kishasanukawaongo tu hao yaan ni majanga tu,mana si tcu wala nacte ni km sio ofsi za serikali;tuvute subra na waendelee kudanganya ili muda wetu uende.