Jamani mi naona hii NEC inakazi ya Ku-eliminate badala ya kusimamia election. Basi wajiweke wazi kuwa wao ni Elimination committee na kazi yao kuu ni ku-eliminate wale wanaofaa kutokana na matakwa ya wananchi na kuwaingiza wale wanao wafikiria ndo wanafaaa kutokana na matakwa ya waliowaweka madarakani.
Inasikitisha sana.......
aaaaahhhhh