Mungu awatangulie katika mitihani yenu. Huwa kuna feki zinasambazwa, chondechonde, zifanyeni kama past papers tu za miaka ya nyuma, kamwe msiamini kuwa ni mtihani kwani ukiamini kuwa ni mtihani, kesho ukiingia chumba cha mtihani, ukikuta mambo ni tofauti, utahamaki, na hivyo kushindwa hata kufanya maswali ambayo siku zote umeyajibu na unayafahamu