tusubiri tuone itakuwaje, yapo mengi ya kujiuliza kuhusu hii project ya NIDA
mwishoni tutaambiwa mtu kaweka hela mfukoni na kakimbia na ofis kama ilivotokea Uganda.
world bank walishauri hawa jamaa waanzishe vitambulisho vya bar code wao Nida wanangangania smartcard technology wkt nchi haina infrastructure.
pia kuna mkanganyo kati ya sensa na Nida kuhusu ukusanyaji wa takwimu nk
PCCB wamekosa meeno kwani hawana meno kamili
labda Nida itakuwa mkombozi kama hakutatokea usanii wa kuwapa vitambulisho wageni kama ilivotokea wakati w akupiga kura.[/QUOTE
Tatizo nchi hii kila mradi ni "Dili". Sielewi kwanini wasingeanza kwa kukusanya data zilizopo Rita, uhamiaji, TRA hasa kwenye walio na leseni za magari n.k kabla ya kuanza kukusanya taarifa mitaani. I smell a "rat on this Masha corrupt initiated program"