wakuu kwema jamani.
naombeni msaada wenu wa kimawazo.
nataka kusoma kozi ya stashahada ya Uzamili katika fani ya Ununuzi na Ugavi (POST GRADUATE DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT) katika chuo cha Taifa cha usafirishaji (NIT).
Naombeni ushauri wenu wa kimawazo juu ya ubora wa chuo hicho hasha kwa kozi ambazo zina mchepuo wa biashara kabla sijafanya maamuzi ya kuapply kusoma hapo.
naombeni mawazo yenu wadau wa Elimu.