National Insurance Corporation of Tanzania Ltd Interview

National Insurance Corporation of Tanzania Ltd Interview

Seny Rutta

Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
6
Reaction score
0
Jamani waJF naomba msaada wa majina ya applicants ktk posts za Assistant Accountant maana advert ya leo ktk mwananchi watu imewachanganya ukiingia kwenye www.nictanzania.com hakuna issue yoyote inayohusu shortlisting mwenye majina may u plz assist me maana interview next week j3
 
mkuu tangazo limesema wote waliomba nafasi ulizozitaja hapo juu,it is trick.Kama uliapply hizo post mkuu,nenda,mtajikuta watu 1000
 
ndio mchezo ule ule, wamesema wote waende, ata kama unamdogo wako nendanae!
 
mkuu tangazo limesema wote waliomba nafasi ulizozitaja hapo juu,it is trick.Kama uliapply hizo post mkuu,nenda,mtajikuta watu 1000

WAKIITWA wachache, tunalalamika; mnaitwa wote hamtaki!!!!! Angalizo, kama uliomba we nenda tu na hata kama hujaomba; we nenda tu mkabanane huko huko!!!! Unfortunately, ckuona tangazo la kazi lakini ningejuwa miongoni mwa kazi zilizotangazwa nami na-qualify; nami ningeenda tu hata kama ckuomba! Nyie vipi.....wake up..Go!Go!GO!
 
A ha ha hii NIC ni utani sasa ila co ishu tutabanana hapo hapo
 
WAKIITWA wachache, tunalalamika; mnaitwa wote hamtaki!!!!! Angalizo, kama uliomba we nenda tu na hata kama hujaomba; we nenda tu mkabanane huko huko!!!! Unfortunately, ckuona
tangazo la kazi lakini ningejuwa miongoni mwa kazi zilizotangazwa nami na-qualify; nami ningeenda tu hata kama ckuomba! Nyie vipi.....wake up..Go!Go!GO!

ishu si wangapi wanatakiwa kama hujui ndugu haya wanachofanya sasa hivi wanaita watu wao baada ya hapo ndo wanafuata wote waliotuma application ila ukweli nafasi hizo zimeshabcovered angalia tra pspf nssf ssra wanachofanya kama una mtu mkubwa anakupa kimemo bahasha yako inachambuliwa halafu unafanyiwa moja kwa moja oral interview
 
A ha ha hii NIC ni utani sasa ila co ishu tutabanana hapo hapo
Angalia mwananchi ya leo tena advert hiyo imerudiwa ukiingia website yao www.nictanzania.com hamna ishu yoyote inayohusu interview
 
mkuu tangazo limesema wote waliomba nafasi ulizozitaja hapo juu,it is trick.Kama uliapply hizo post mkuu,nenda,mtajikuta watu 1000
mpendwa ishu c tangazo angalau wangeliweka tangazo kwenye website yao but up to this moment nothing na mbaya zaidi mkurugezi amerudia tena leo wawe specific
 
Hapo ni mtihani!Sasa kwa wale wa mikoani wanao post wana uhakika gani kama barua zao zimefika?Haya ni manyanyaso tu.
 
ishu si wangapi wanatakiwa kama hujui ndugu haya wanachofanya sasa hivi wanaita watu wao baada ya hapo ndo wanafuata wote waliotuma application ila ukweli nafasi hizo zimeshabcovered angalia tra pspf nssf ssra wanachofanya kama una mtu mkubwa anakupa kimemo bahasha yako inachambuliwa halafu unafanyiwa moja kwa moja oral interview

zile nafas za TRA nadhan ilkuwa july,niltaka kupeleka application post ya inf system auditor,cku 4 baada ya kutangazwa..kabla cjaenda kupeleka nkampgia baba yangu mmoja hiv wa hiari ni mchungaj wa Kanisa la moravian,akaniambia nisubiri kuna mtu anataka kuongea naxe pale TRA,baadaye kidogo akaniambia nimechelewa nilitakiwa nimwambie kwanza 7bu kaambiwa kwa sasa sio rahis 7bu nafasi zilibak tatu na jana yake ndo zilijazwa...kaz tutapata lakn cha moto tutakiona..jaman msikate tamaa ni kuomba tu huwez jua inaweza kutokea bahat
 
ishu si wangapi wanatakiwa kama hujui ndugu haya wanachofanya sasa hivi wanaita watu wao baada ya hapo ndo wanafuata wote waliotuma application ila ukweli nafasi hizo zimeshabcovered angalia tra pspf nssf ssra wanachofanya kama una mtu mkubwa anakupa kimemo bahasha yako inachambuliwa halafu unafanyiwa moja kwa moja oral interview

Issue ni NIC kuita wote waliokuwa wame-apply kwa ajili ya interview.....mgeni wa kutafuta kazi, hilo anaweza kuona la ajabu lakini hayo mambo yanatokea kabisa broda!!! acheni kutanguliza unyonge kila mahali, kama wameita wote interview just go na sio kubaki kulalamikia vi-memo!!! 2006 serikali ilishawahi kuajiri wote(tena bila interview) ambao waliomba nafasi za accounts and auditing; nini kuita wote kwa ajili ya interview broda!
 
Back
Top Bottom