Seny Rutta
Member
- Nov 8, 2011
- 6
- 0
mkuu tangazo limesema wote waliomba nafasi ulizozitaja hapo juu,it is trick.Kama uliapply hizo post mkuu,nenda,mtajikuta watu 1000
WAKIITWA wachache, tunalalamika; mnaitwa wote hamtaki!!!!! Angalizo, kama uliomba we nenda tu na hata kama hujaomba; we nenda tu mkabanane huko huko!!!! Unfortunately, ckuona
tangazo la kazi lakini ningejuwa miongoni mwa kazi zilizotangazwa nami na-qualify; nami ningeenda tu hata kama ckuomba! Nyie vipi.....wake up..Go!Go!GO!
Angalia mwananchi ya leo tena advert hiyo imerudiwa ukiingia website yao www.nictanzania.com hamna ishu yoyote inayohusu interviewA ha ha hii NIC ni utani sasa ila co ishu tutabanana hapo hapo
mpendwa ishu c tangazo angalau wangeliweka tangazo kwenye website yao but up to this moment nothing na mbaya zaidi mkurugezi amerudia tena leo wawe specificmkuu tangazo limesema wote waliomba nafasi ulizozitaja hapo juu,it is trick.Kama uliapply hizo post mkuu,nenda,mtajikuta watu 1000
ndio mchezo ule ule, wamesema wote waende, ata kama unamdogo wako nendanae!
ishu si wangapi wanatakiwa kama hujui ndugu haya wanachofanya sasa hivi wanaita watu wao baada ya hapo ndo wanafuata wote waliotuma application ila ukweli nafasi hizo zimeshabcovered angalia tra pspf nssf ssra wanachofanya kama una mtu mkubwa anakupa kimemo bahasha yako inachambuliwa halafu unafanyiwa moja kwa moja oral interview