Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Ndugu zangu Umofia kwenu,
Tanzania kama ilivyo nchi nyingi duniani ina wahamiaji wasio halali ( nachelea kusema harama kwa kuwa binadamu hawez kuwa haram)
Tofauti na nchi nyingine, pengine watu hawa wameachwa wakawa na sauti sana katika jamii yetu, uthibitisho? Matendo na maneno yao..
Hawa watu wanaingilia mijadala mipana hasa nchi yetu ikiwa vitani, mathalani issue ya M23 ya DRC na Rwanda ...
Wapo watanzania wenzetu wanauwawa na wengine kujeruhiwa, ilhali wengine wanakabili vifo kila iitwapo leo..
Sasa kuna hawa ' wahamiaji haramu' wapo busy kutunga sentensi za Umoja na Udugu wa Africa kwamba ni ssue ya mipaka ya ukoloni ..
Watu wetu wanauwawa na wanyarwanda sisi tukae kimya kuhubiri umoja na mshikamano?
Zitto Kabwe anaongoza hilo kundi, mwingine ambae nae amekuwa akinukuliwa mara kadhaa akipuuzia uraia wa Tanzania ni Prof Kabudi ....
Hawa watu wana nini na nchi yetu?
Kupakana na nchi na kuingiliana lugha na tamaduni hakumfanyi mtu kuwa Raia wa nchi nyingine.... Ieleweke once and for all..
Kuna kipindi Kibu Dennis alipewa uraia kwenye mazingira ya kufikirika sana kwa msaada wa Zitto..
Kuna wengine wamepewa uraia kwa msaada wa Singida Big star .
Sisi tunalipa kodi Tanzania, kama uhamiaji wameshindwa kusimamia swala la Uraia liwekwe chini ya Uangaliz maalumu wa Idara ya Usalama wa Taifa...
Watu wanahamia kinyemela, wanasoma bure, wanatibiwa bure kwa kodi zetu ..
Marekani inafukuza wahamiaji sio kwa bahati mbaya, wanaangalia maslah ya nchi yao. .
Ukiomba vissa kwenda nchi nyingi silizoendelea unaambiwa denied/rejected.. na hii ni kulinda nchi yao .
Sisi tuna shida gani?
Uhamiaji wanafanya kaz gani? Mpaka leo hakuna proper definition ya Mtanzania? Hakuna Identity inayotosha.... Shida ipo wap?
Tuna vyombo vya kila namna, tunamuogopa nani?
Kila tukiongelea hili swala warundi na Wanyarwanda wanatunyamazisha.. wanateka mjadala . Sisi tupo tu...
Hii haikubaliki, Tanzania na watanzania kwanza, hatuna mbadala wake.