kukumsela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2018
- 725
- 917
National Occupational Safety and Health Certificate (NOSHC) Module 1 and 2 ni kozi za muda mfupi zinatolewa na OSHA kwa muda wa wiki 2 ada yake ni tsh 700,000/=. naomba ushauri naweza kupata wap mchongo baada ya kumaliza na vipi maihitaji yake kwa sasa?