Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hivi tunavyosema national park tunamaanisha nini? Ni sahihi kusema ni Mbuga za wanyama au mbuga za taifa? Kwani national park lazima iwe mbuga? Lazima iwe na wanyama? Tafsiri sahihi ya national park ni nini?