Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ndugu zako wamejazana Simiyu waambie maliasili waje wawakamate wana dhuru sana watoto hawali tena mifupaHivi tunavyosema national park tunamaanisha nini? Ni sahihi kusema ni Mbuga za wanyama au mbuga za taifa? Kwani national park lazima iwe mbuga? Lazima iwe na wanyama? Tafsiri sahihi ya national park ni nini?
Ukijibiwa ni tag nirudiHivi tunavyosema national park tunamaanisha nini? Ni sahihi kusema ni Mbuga za wanyama au mbuga za taifa? Kwani national park lazima iwe mbuga? Lazima iwe na wanyama? Tafsiri sahihi ya national park ni nini?
Mkuu nipasie na mimi hicho kijiti.Ndugu zako wamejazana Simiyu waambie maliasili waje wawakamate wana dhuru sana watoto hawali tena mifupa
Na baadhi ya wenyeji wanawafuga kama kuku
Shukrani.National parks ni hifadhi za taifa
Hivi na makumbusho ya taifa yapo chini ya TANAPA?National parks ni hifadhi za taifa
N mbuga za wanyama za taifa ama hifadhi za taifa, kuna eneo la hifadhi ambayo n Ngorongoro na mapori ya akiba ambayo n GAME RESERVES. Yote hayo yanatofautiana kutokana na uendeshwaji wake .ipo taasis inayoruhusu uwindaj ambayo hufanyika kwenye mapori ya akiba .ipo taasis inayoruhusu mwingiliano wa binadam na wanyamapori ambayo n Ngorongoro conservation area authority na hifadhi za taifa au mbuga za wanyama za Taifa zinakataza yote hayo kufanyika na kubak na jukum moja ya kulinda na kuuza utaliiHivi tunavyosema national park tunamaanisha nini? Ni sahihi kusema ni Mbuga za wanyama au mbuga za taifa? Kwani national park lazima iwe mbuga? Lazima iwe na wanyama? Tafsiri sahihi ya national park ni nini?
Na uwanja wa taifa je uko chini ya TANAPAHivi na makumbusho ya taifa yapo chini ya TANAPA?
Umefafanua vizuri sana, asanteN mbuga za wanyama za taifa ama hifadhi za taifa, kuna eneo la hifadhi ambayo n Ngorongoro na mapori ya akiba ambayo n GAME RESERVES. Yote hayo yanatofautiana kutokana na uendeshwaji wake .ipo taasis inayoruhusu uwindaj ambayo hufanyika kwenye mapori ya akiba .ipo taasis inayoruhusu mwingiliano wa binadam na wanyamapori ambayo n Ngorongoro conservation area authority na hifadhi za taifa au mbuga za wanyama za Taifa zinakataza yote hayo kufanyika na kubak na jukum moja ya kulinda na kuuza utalii