JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Jana nirikuwa naangaria channel ya CITIZEN ya kenya,kulikuwa kunaoneshwa NATIONAL PRAYER DAY,ambayo imewakutanisha karibu viongozi wote katika serikali ya KENYA,jambo la ajabu ni kwamba shughuri nzima iliendeshwa kikanisa kanisa hivi,kwa maana ya nyimbo,ujumbe mbarimbari uliotolewa.
Hata mh Rais aliposimamishwa na makamu wake aimbe wimbo,aliimba wimbo wa injiri,sikuona akisimamishwa hata sheh atoe dua,kwa maana ya kuwapa hata watu wa imani nyingine nao nafasi ya kushiriki kikamilifu.
Richa ya kwamba sikuwaona hata viongozi wa kikristo wakihubiri,lakini kwa kuwa viongozi wote wajuu ni kutoka dini ya kikristo,nyimbo nyingi zilizoimbwa zilikuwa za kikristo,je hili harikuwa kwazo kwa viongozi wa imani nyingine? kama shughuri ilikuwa ya kitaifa,kwanini waandaaji,hawakuwashirikisha viongozi kutoka imani zote za dini.kwa maoni yangu,hapa walichemsha,kiasi kwamba ikaonekana kana kwamba shughuri ile iliandaliwa kanisani,na wote waliohudhuria ni wa kristo tu,
Ni mtazamo tu,naweza nisiwe sahihi