Natishiwa kuuawa


Kitu kibaya sio tu kukameruniwa..inaweza kuwa chochote hata kuuawa,napenda kuishi miye..
 
Piga kimya . nunua sm card nyingine..
Hopeful hukumtumia picha yako.
 
Wewe kama huna interest na huyo mdada unaona ugumu gani kupokea simu na kumfafanulia huyo Jamaa 'ake ili Jamaa asitishe zoezi la kukufanya kitu mbaya?
 

Dah simu ndio maisha..yani nkibadili namba saivi nimeharibu deals zote
 
Kwa jinsi ulivyoandika hapa, inaelekea huyo 'mtu mkubwa serikalini' akikuona tu atakuonea huruma. Usiwajali,soma baba kijiji kinakutegemea urudi ukagombee ubungo. Bahari imechafuka hiyo dogo, utavamia papa nyangumi,tena wale wa hatari

Sihasa namm ni ‘left and right‘ yani kushoto na kulia
 

Nimeshawambia my room mates na saivi ndo najiandaa nielekee polisi..
 
Piga kimya . nunua sm card nyingine..
Hopeful hukumtumia picha yako.

Sijamtumia picha ila huyo binti ananifahamu,na nadhani anaweza kuwa na picha tulizopiga kwenye conference
 
Tatizo msg yenyewe ukiisoma unahisi ka umebakiza saa kadhaa b4 hujafa..

dah, pole mzee. Hapa inaonekana jamaa alimwambia binti athibitishe la sivyo mahusiano yao yatakuwa matatani sasa binti amekasirika maana wewe umeshindwa kuongea na hiyo njemba ili ipate matumaini na kwa matokeo hayo binti kawekwa njia panda tena atakuwa na hasira sana kama hiyo jamaa ndio ilikuwa inasomesha yeye.
 
Acha woga kijana hilo ni swala dogo sana....wakiendelea kukusumbua tena nitafute tutamtrace huyo mbwiga na kumjua ni nani kisha we ndo utaamua tumfanye nini.....
 
Saivi katumia simu nyingine nimepokea akaanza kunshambulia kwa maneno..nimemwuliza,hivi una akili kweli?Ndo nikaamsha msafara wa matusi nsiyoweza kuyaandika humu,hadi simu ikaisha vocha na kukatika..

hapa kuna tatizo. Umemkosea nini hadi afikie kukuporomoshea matusi. Huyo atakuwa affected, kuwa naye makini. Kula kitabu.
 
kaka acha uoga,we kama unasoma na demu mwambie kama mmekua maadui akuambie live,na akikuambia ndio either umuwah mfanyie hakuna mtafutie mavijana wambake mpaka akusalimu,au akishakuambia sasa nyie ni maadui then mpeleke polisi ili uwe kwenye usalama zaidi,we wa kiume bwna
 
Mkuu la msingi hapo karipoti Police ili uendelee kula kitabu au kama vp nawe mtunishie msuli mwambie mimi mwenyewe mzee wa kazi na hapa Chuo nipo kikazi zaidi kwa hyo ajitizame upya
 
then stop crying like a little girl.... If you haven't done anything wrong why are you worried?
are you hiding something under the carpet ..
Muone vile.We ulivyokua unalia jana ulikua "a little girl" ????
 
Fuata huo ushauri wa kupotezea BUT uwe na tahadhari pia maana tishio la maisha sio jambo la kupuuza moja kwa moja.
 
then stop crying like a little girl.... If you haven't done anything wrong why are you worried?
are you hiding something under the carpet ..

Am i crying?The reason i am worried is brcause the world is full of crazy guys and u just never know who u r dealing with!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…