Haya sasa kuwa mwema,kwa kuheshimu na kujenga ulichokianzisha,kumuenzi na kumfariji mwenzi wako kwa kuwa ana mapenzi ya kweli juu yako.Sio wema wa kuacha na kuanzisha kingine halafu baadae utatoka na kuleta sababu ulizosema hapo juu na utatuambia unataka kuwa mwemaWe all do mistakes most of the time. Wakati mwingine hujui kipi ni bora. The lust of flesh controls our ego. The ecstacy derived from the flesh is the trap. But for now nahitaji kuwa mwema. Ndio maana nimekuja kwenu kuwasikiliza
We all do mistakes most of the time. Wakati mwingine hujui kipi ni bora. The lust of flesh controls our ego. The ecstacy derived from the flesh is the trap. But for now nahitaji kuwa mwema. Ndio maana nimekuja kwenu kuwasikiliza
siku hizi umekuwa MKALI/na HASIRA KWELI!....vip?Staili uliyokuja nayo siyo.Unaonekana unafurahisha jamvi.Waswahili husema mpende akupendae,Sasa kwani huyo binti anatatizo gani mpaka useme sio right candidate? weka wazi tatizo ili ushauriwe.Na huyo unayetaka awe right candidate unataka aweje?Kama kweli una nia ya kutulia basi tulia.Usiwe na presha yoyote katika hili,vinginevyo utakuwa mtu wa kutest tu na sio muoaji.
Duh!Wanawake tuwe welevu sana kwenye masuala ya mapenzi. wote mlioko humu ndani, mtu akisema siwezi kujenga maisha na wewe basi elewa hivyo siyo ufanye ung'ang'anizi utakaokusumbua baadae. Someni alama za nyakati kwa wapenzi wenu mambo yataenda sawa tu. Mwaka 2010 wanawake tuwe na wabunifu kama sehemu haifai usilalame sana toka nenda sehemu tofauti na ile. tuwe na choice za kueleweka.
Marry Christmas and Prosperous New Year 2009.
nafikiri huna haja ya kupretend. Mwambie ukweli kwamba huwezi kuwa nae kutokana na sababu zisizoweza kuzuilika. Ni kawaida sana kuanzisha mahusiano yakafa hutakuwa wa kwanza. Ila ukweli ni mzuri sana na hufanya usifeel gilt unapokumbuka au unapokuwa na mtu mwingine.
Usimwache kwa maneno ya kashfa wala kutukana. Mwambie ukweli kutoka moyoni mwako. Kwa sababu hataki kusikia na anataka kujiua nafikir mwache na hayo maamuzi yake ya kishetani. Baadae itawasumbua kama mtakuwa kama mke na mme wakati humpendi. Komaa na huo ukweli wako tu aelewe. Msomeshe taratibu punguza kukutana nae hata sms.
Wanawake tuwe welevu sana kwenye masuala ya mapenzi. Wote mlioko humu ndani, mtu akisema siwezi kujenga maisha na wewe basi elewa hivyo siyo ufanye ung'ang'anizi utakaokusumbua baadae. Someni alama za nyakati kwa wapenzi wenu mambo yataenda sawa tu. Mwaka 2010 wanawake tuwe na wabunifu kama sehemu haifai usilalame sana toka nenda sehemu tofauti na ile. Tuwe na choice za kueleweka.
Marry christmas and prosperous new year 2009.
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Hivi Mziwanda last time hukumpata mwandani? Nilionaga thread yako ya kutafuta mwenzi hapaKifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Mziwanda aumtendei haki huyu binti, kaa chini tafakari kwa kina kabla ya kuamua kumuachaHuyu binti alipata kazi mwanza akagoma kwenda kisa atanipoteza! Nahofia hata nikiwa nae maishani ataweza fanya jambo la hatari. Nachohitaji ni mbinu sahihi ya kutengana bila maafa. Sipendi kubanwa kiasi hicho katika mapenzi. Natishiwa maisha kwa maana kwamba kauli zake si za amani, pia akijiua nitakuwa lawamani. Mnielewe kwa wema tu
Dogo ulishawahi kuwa mganga wa Kienyeji??Ladda jaribu kumbadilikia, mpe bad sex ,halafu jaribu kuto oga na kuto piga mswaki kila unapo kutana naye ,alafu uwe lazy kitandani na pia act uko supper broke , muombe hela sana na uonyeshe hujishughulishi na ume kua mlevi, kila unapo kutana naye uwe una act umelewa na una smell bad , kama vile hujipendi , tuone kama ita work .
Unatishiwaje maisha??Muda wa miezi minne nimekutana na huyu binti. Anasema ananipenda kuliko! Mi ni kila kitu kwake. Bila mi hawezi ishi. Haoni faida ya kuishi bila mimi na ipo siku nitaelewa anachosema. Anatishia kujiua ninapotaka kumwacha. Kifupi nahitaji mahusiano mengine yatakayojenga ndoa. Nawasikiliza wadau. Pia kama kuna right candidate humu ani pm (dame). Tujue pa kuanzia
Kaka no comment on this umemaliza kabisa, ni ushauri mzuri sana huuMziwanda we si mtu mzuri bana..Unaanzisha mahusiano na mtu, then unataka kumfrustrate baada ya kumchoka..Kwanini umuache?...Mbona ushamvuruga na kumfunuafunua, sasa unataka kumshiti upate mtu mpya..Ni tabia mbaya sana hiyo. I dont entertain it at all!...Who knows unataka umwache ili ukamvuruge mwingineo?..Ningekuwa na namba ya mdada huyo namwambia akomae mbaya kabisa, na asikusikie wala kukuelewa..huh!...
Ushauri mwingine mtamu/mchungu hivi. But its good and precious one. Take this positively my friend MziwandaMi ndio sijakuelewa kabisa,unatishiwa maisha wewe au anatishia maisha yake? Acha na ukome tabia yako ya kishamba,kwani huyo binti alikutongoza?Acheni tabia zenu za kujinadi nyinyi wauza sura!!