Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Nchi ya Ukraine imeingia katika vita na Urusi baada ya kudanganywa na hili genge la wahuni wa nchi za NATO.
Ikumbukwe wakati wa vita baridi miaka ya 80s kulikuwa na NATO iliyokuwa ikiongozwa na Marekani na Warsaw iliyokuwa ikiongozwa na USSR.
Baada ya nchi na taifa la USSR kusarambatika hili genge la nchi za NATO zimeendelea kujimairisha na limezidi kutanuka kuelekea kwenye mpaka wa URUSI. Ukraine ilikuwa katika hatua za kujiunga na NATO na hii ilikuwa ni tishio kwa taifa la URUSI. Rais Putin wa URUSI ameanzisha vita dhidi ya Ukraine ili kuizuia nchi kujiunga na NATO.
Ikumbukwe NATO imetumika kwa kuwaondoa madarakani Rais wa Libya Gaddafi na Rais wa IRAQ Sadam Hussein na ni NATO hiyo hiyo iliyosambaratisha taifa la Yugoslavia. Kwa kumalizia ni maoni yangu kuwa NATO ni tishio kwa usalama kwa Dunia hii.
theconversation.com

Ukraine war follows decades of warnings that NATO expansion into Eastern Europe could provoke Russia
Lost in the outrage over Russia’s invasion of Ukraine is the fact that many in the West have long warned that widespread NATO expansion into Eastern Europe could spark just such a conflict.
theconversation.com