The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
Hawajafikia makubaliano yoyote, mpaka wafanye kikaoWasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.
Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.
Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
Kila anachofanya anashindwa huyu mzeeTrump aliahidi kuimaliza hii vita ndani ya muda mfupi lakini mpaka sasa hamna kitu
Anayemwamini trump akapimwe akiliTrump aliahidi kuimaliza hii vita ndani ya muda mfupi lakini mpaka sasa hamna kitu
Uchawa uliovuka mipakaWasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.
Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.
Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.
Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.
Shukrani sana mkuu, lakini ninavyo ijua hulka ya Zelensky pamoja na washuri wake wakuu, si rahisi Zelensky kujitoa kichwa kichwa eti "anaenda kujisalimisha kwa Putin" hilo halitatokea tusijisidinganye kabisa.Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
Unapoamka asubuhi unafikiria kuandika chochote tu hapa jf.,Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.
Haya yanaripotiwa baada ya simu ya pamoja ya volodymir zelensky rais wa US Donald Trump na viongozi wa ulaya na katibu mkuu wa NATO M ark Rutte.
Makubaliano hayo yatafanyika katika mkutano unaotrarajiwa kufanyika umoja wa falme za kiarabu baina ya rais Putin, Trump na zelensky
Ulimuamini?.Trump aliahidi kuimaliza hii vita ndani ya muda mfupi lakini mpaka sasa hamna kitu
Binafsi ningependelea wapige marufuku Viongozi kutoka Uingereza,Ufaransa na Ujerumani kuzonga zonga sehemu patakapo fanyiwa mkitano, jamaa hao kero sana na kujitia ujuaji mwingi na fitina. ndio wanao mpotosha hata Zelensky mwenyewe, kwa bahati nzuri hata Trump mwenyewe amekwisha washtukia.Urusi ni dubwana kubwa
Trump ni mzabina zabina sanaAnayemwamini trump akapimwe akili
kampeni ni jambo hatari sana , na alkua mjanja sana kila akihojiwa ataimaliza vipi alikua anakwepa kujibu anasema muda ukifika wataona tu anajua nini cha kufanya.Trump aliahidi kuimaliza hii vita ndani ya muda mfupi lakini mpaka sasa hamna kitu
Maraisi Putin na Trump watakutana Ijumaa ijayo Alaska ambayo ni mpaka wa Marekani na Russia.Wasalam tena ndugu mwana JF za ndani kabsa kutoka katika vyanzo vya karibu na rais wa Ukraine vinasema rais volodymir Zelensky anapanga kujisalimisha mbele ya putin ili kuepusha umwagaji damu wa raia wa ukraine.