NATO WAR ON LIBYA

NATO WAR ON LIBYA

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
7,808
Reaction score
16,972
Nipo na angaria documentary inayohusu Libya,kupitia Aljazeera,
Wazungu hawawezi kuruhusu nchi yoyote ya kiafrika,ukiacha Afrika kusini,kuwa huru kiuchumi,na kwenda kinyume na Sera za kichumi za kimagharibi,Ghadhafi alijaribu,kuikomboa Afrika,kwa kutumia marighafi zake,kama mafuta,wazungu ikawakera,wakamuondoa,
Huu no ukweli mchungu,
 
Hujajiandaa kuandka full details lalaa kwaza au kale kwaza
 
Natamani kusikia nini kinaendelea baada ya jamaa kufariki
 
Nipo na angaria documentary inayohusu Libya,kupitia Aljazeera,
Wazungu hawawezi kuruhusu nchi yoyote ya kiafrika,ukiacha Afrika kusini,kuwa huru kiuchumi,na kwenda kinyume na Sera za kichumi za kimagharibi,Ghadhafi alijaribu,kuikomboa Afrika,kwa kutumia marighafi zake,kama mafuta,wazungu ikawakera,wakamuondoa,
Huu no ukweli mchungu,

Weka link, thread yako inakosa uzito

Ila, Al jazeera hawako biased kama wengine. MAZIWA wataita MAZIWA na TUI litaitwa TUI. Ila BBC sijui CNN, TUI ndo kwanza wataita MAZIWA na MAZIWA ndo TUI. Wakijitahidi sana CHEPE wataita KIJIKO KIKUBWA.
 
Kwa nini Afrika Kusini?
Afrika KUSINI ameridhia MIKATABA yote ya KIMAGHARIBI ikiwemo na ule MKATABA unaotambua haki za MASHOGA (kundi la wale wanao jihusisha katika MAPENZI ya jinsia moja)

Kingine ni sehemu kubwa (karibia 70%) ya UCHUMI wa nchi kuendeshwa ama kushikiliwa na KABURU (Mzungu Mweusi)
 
Back
Top Bottom